Kinga ya MuislamuBy Mahmoud Al-Asmi ( Free )
Kwa Jina La Mwenyezi Mungu Mwingi Wa Rehema (Duniani) Mwenye Kurehemu (Akhera) UTANGULIZIHakika sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu, tunamsifu, tunamuomba msaada na tunamuomba maghfirah, tunamuomba Atuhifadhi na shari za nafsi zetu, na maovu ...